Fundi wa MV. Nyerere apatikana akiwa hai

IF YOU ARE 18 YEARS CLICK BELOW TO WATCH AND DOWNLOAD FULL VIDEO

Saturday, September 22, 2018

Fundi wa MV. Nyerere apatikana akiwa hai

Mmoja wa Mainjinia wa Kivuko cha Mv.Nyerere kilichopata ajali ya kuzama ziwa Victoria, Alphonce Chelehani ameokolewa muda mfupi uliopita akiwa hai, mpaka sasa idadi ya miili iliyoopolewa ni 163.
Imeripotiwa Zaidi ya wananchi 500 wamekwama katika eneo la Bugolora  baada ya kukosa usafiri wa kuelekea kisiwa cha Ukara kulikotokea ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere juzi Septemba 20, 2018Wanachi hao wamekwama kutokana na usafiri kuwa wa shida kwani watu wengi sana wanaelekea eneo hilo wakiwemo viongozi wa Serikali.
Share :
Facebook Twitter Google+

 

Back To Top